Kisii: Woman flees after dumping 1 year old boy into a married man's compound at midnight.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 апр 2025
  • Get the feeling. Bosongo Vibes is the leading RUclips channel that gives you the real picture around Bosongo and its environs. Book an interview or share with us via SMS or WhatsApp +254700169444
    #BosongoVibes #KisiiNews #NyamiraNews

Комментарии • 765

  • @user-wr9fn4ny4i
    @user-wr9fn4ny4i 2 года назад +29

    My brother that's your baby, I know things are hard/tough but take care of your baby. I know you're getting pressure from your wife but be firm as a man and take care of the baby. Remember the baby is innocent, Wish I could get that baby, you never know those kind of kids are a blessing to the entire family. Look at Jephthah from the Bible.

    • @maurineakinyi4426
      @maurineakinyi4426 2 года назад +1

      True

    • @ruthnyanyuki9239
      @ruthnyanyuki9239 Год назад +3

      ​pls do the DNA That man is the father

    • @naomimong5127
      @naomimong5127 Год назад

      Agreee

    • @EmmaculateMakori-t7l
      @EmmaculateMakori-t7l 25 дней назад +2

      Mm siwezi kataa kulea mtoto huyu mwanamke ana zake😢😢😢😢wewe mwanamume please lea mtoto gaki mm mwenye alinizalisha nilipompelekea mtoto he was like a Satan to my son but mwanamke alimleavilivyo na wake❤ Naomi wherever you are Mungu akubariki.bit after Four months nilienda kumchukua please women mtoto SI big deal gusii yeito obwachani

    • @TeresiaAburi-q9f
      @TeresiaAburi-q9f 20 дней назад

      C ww ni gunia mtoi ni wako na ulipeana mimba ukaepa unafaa kuwekwa ndani hukumiwe kifo ubwa koko ww

  • @truphenaombati5700
    @truphenaombati5700 2 года назад +16

    Waaaah 😳 😳 😳.
    Mtoto Ako na less than 2 years old na marriage yenu imelast more than 2 years, meaning ulicheza ungali kwa ndoa.
    Lea mtoto naniii

    • @moraramoureen4853
      @moraramoureen4853 2 года назад +2

      Mtoi Ako na one and half years ukiongeza na mimba almost 3years aliaja mama mtoto ndio akaoa

    • @truphenaombati5700
      @truphenaombati5700 2 года назад

      @@moraramoureen4853 waaaah 🤦‍♀️

    • @phaneboraya
      @phaneboraya 2 года назад

      By yourt

  • @emmakwamboka107
    @emmakwamboka107 2 года назад +13

    As a woman I think that kid is for that man. Hakuna vile nitabeba mtoto mpaka kwa mlango ya mwanaume kama sio wake. Let that man raise the child 😢

  • @evansnyakundi3527
    @evansnyakundi3527 2 года назад +3

    I have heard all the information as an DCI officer the baby belongs to that man and the man should take responsibility of the child,there is a pregnant point When Kaka Sungura is asking them questions,second to the lady also take care of that child is a blessings be a caring and a loving mother God will reward you forever your lives.

  • @jasminmoraaoseko7427
    @jasminmoraaoseko7427 2 года назад +23

    Bosongo vibes please b4 mupeleke mtoi children's home ebu fanyeni DNA ya mtoi na uyo mwanaume we are waiting for the part two ya DNA

    • @dalmasnyaribo9569
      @dalmasnyaribo9569 2 года назад +1

      Kweli umefikilia kama mimi

    • @MJmpenzi
      @MJmpenzi 2 месяца назад

      Bosongo vibe u are not asking correct questions. Is that that man"s DNA. You husband had a relationship with the boy's mother.

  • @veronicahnyaigoti1731
    @veronicahnyaigoti1731 2 года назад +14

    DNA au? I think the mother knew what she was doing. Responsibility imekuwa ngumu.

  • @welmah5809
    @welmah5809 2 года назад +8

    Congratulations to the mother who dropped the baby, if that man is not the father let him go for DNA stop this nonsense of saying that he will take the baby to the children's office. The wife should be quite because she even didn't know the relationship of her husband.

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 2 года назад +30

    I doubt the gentleman's statement, his words attract more questions than answers. Just take up the responsibility bringing up the child. To the baby mother you are a disgrace dumping a child at night at night someone's homestead is cruel. Thank God he survived.

    • @agnesgesare9349
      @agnesgesare9349 2 года назад +3

      Yes, he is ready to take up the responsibility aconding to his words but his wife she can't except that.
      I wish I mkewe angejua hizo n baraka akubali tu walee mtoi.

    • @paulogwaro6936
      @paulogwaro6936 2 года назад +1

      I agree with you bro Evans . The gentleman is likely to be the father. It's only a matter of time the two people to meet and reconcile on this issue. Agree and bring up the child .

    • @wycliffemusa
      @wycliffemusa 2 года назад +1

      The statement is clear,no need to doubt bcz,there is no lady atakuja kwako usiku akuajie mtoto kama sio wako.Even the man amesema huyo msichana kuna muda alikaa karibu na kwao maybe ndo alimpea,,,
      Let us not judge but clearly kaka make a follow up to the mother's kid.Utamupata tu muongee

    • @Erivaisama-wf6sx
      @Erivaisama-wf6sx Год назад +1

      Aki kaka simunipee huyo mtoto aki

    • @annenyabuto6781
      @annenyabuto6781 Год назад

      The aunty warned the man mum ni mtoto...

  • @domarisyyi3189
    @domarisyyi3189 2 года назад +6

    Bro your is a blessings, unataka kufurahisha, huyo mwanamke unakaa naye, ni nn ulizaa na yy, hata useme alikuwa anaitwa mum, style up kijana, take care, children's home na ww huko. Na ww unasema huwec lea mtoto, # bb yake, hujui chenye hata umecarry.waiting for part 2 please

  • @missbrown-254
    @missbrown-254 2 года назад +49

    That’s u son bro take responsibility that gal knows u are the father if u we’re not angeleta mtoto

  • @Brayma2023
    @Brayma2023 2 года назад +11

    Hahaha the man’s story from the start he said he doesn’t know the lady!Kidogo story ikashika akasahau akasema walikua friends 🤣Aki uongo wewe!🤣🤣🤣🤣

  • @wilfredmaosa8000
    @wilfredmaosa8000 Год назад +3

    You mean unaweza kataa your innocent baby to bliss your wife,your own blood!!!!.huyo ni mtoto just like your wife's children.May God protect ion and blessings overflow on this rejected baby❤❤❤❤

    • @dorcasosano3626
      @dorcasosano3626 21 день назад

      Most kisii men ukataa watoto wao, hata wanaume wenye wako financial stable wanawacha their kids to suffer, sijui nami aliroga some kisii men unihidhi, it's high time kisii men to be responsible na life ya watoto wao,hata kama wamekosana na mama za watoto wao, I wish kisii men wabaki na watoto wao like western kenya,, na wanawake wa kisii pia ukipata mtu na watoto wake kama umekubali, wapende kama wako,,juu ni damu yake,, imgn abana bagochandwa obande kuitwa ebirentane baba yao angali hai

  • @Kibiriti563
    @Kibiriti563 2 года назад +6

    “I don’t know her name, I don’t know her home, I went around looking for her home, I thought nenyang’au kumbe ni mtoto ameachwa hapo kwa gate, mamake mtoto angereport kwa abagambi kwanza kabla ya kuleta mtoto (omotureti is HIS father per the wife), mtoto hanifanani, bla bla”. The wife is pushing him so hard. She wants to leave him no wonder he is living in denial. The baby’s mother is not stupid. There is no evidence that she was sleeping with many men around the village. Omogambi Omosubati said, Tiga agenderere korenda OMWANA oye😂. The father didn’t want the baby’s mother to be apprehended by Omogambi. YOUR GUESS IS AS GOOD AS MINE.

    • @carolbosire3646
      @carolbosire3646 2 года назад

      Huyo. Mtoto ni wake bana amlee

    • @leonah5903
      @leonah5903 Год назад

      Ati anaitwa mum 😅😮😂😂😂

    • @RodahMosongo
      @RodahMosongo 6 дней назад

      😂😂😂😂boy anaruka sperm's yake

  • @rehezirehezi8563
    @rehezirehezi8563 2 года назад +7

    Just do DNA, kama yeye ni babake please take responsibility....period

  • @TheMvenTvfamily
    @TheMvenTvfamily 2 года назад +20

    Wanaume wametuzoea vibaya, running from responsibilities,a lady can not be mud apeleke mtoto penye hajui,that man is the dad to that kid,round ii wanaume mtashika adabu,stop rejecting your kids when they need your presence,it's not right before the eyes of God🥺

    • @jforeign254
      @jforeign254 2 года назад +1

      True 💯

    • @janeotiso552
      @janeotiso552 2 года назад +1

      Kaka sungura, huyu mbaba , huyo ni mtoto wake kidamu, mwamnbie atuze mtoto wake., Kitandawili hatutaki, mamake mtoto is not a mad woman to bring mtoto aweke kwa gate...

    • @TheMvenTvfamily
      @TheMvenTvfamily 2 года назад +1

      ​@@janeotiso552 exactly awache excuses,tunawajua such kind of men..

    • @TheMvenTvfamily
      @TheMvenTvfamily 2 года назад

      ​@@jforeign254 yeah

    • @ales6339
      @ales6339 2 года назад

      Huyu.mwanaume.ajunge.mtoto.n.wake.kabisa.wanafanana.awaje.ujinga

  • @janeontegi2576
    @janeontegi2576 2 года назад +10

    The woman knows the of her son. Gentleman to prove the father, DNA. But from the look of things, take care of your son. You have confirmed “ you were friends “ sorry please if I am wrong. Thank you

  • @StellahOtira
    @StellahOtira Год назад +4

    Akuna kitu kama hiyo bro lea mtoto mwatonyarile utamu ilisikia majukumu unaeba utalea

  • @edinahkerubo6628
    @edinahkerubo6628 2 года назад +5

    Omwana gaki is innocent 😇 😢 I feel for a little angel. Wish I was in Kenya!!! I would take care of him

  • @lydiahmoraa8638
    @lydiahmoraa8638 Год назад +2

    Hata staki kusikiza story story za jaba huyo gaidi achunge mtoto wake ama tuchange tuwapeleke DNA alafu huyo mwanaume tuachiliwe sisi kama wamama tumufunze adabu na huyo mama ningem charge lkn according na condition ako sahi but akumbuke mtoto n malaika akataliwi namna hiyo😢😢

  • @Shizniz
    @Shizniz 2 года назад +5

    Its obvious the guy is a deceptive. He is the father and doesn't want to take responsibility. DNA will solve this issue for sure.

  • @josephgekone6109
    @josephgekone6109 2 года назад +6

    Suggest kaka you to visit the home of this lady you may find a different story

  • @davidokenye2448
    @davidokenye2448 2 года назад +1

    Kaka you have given Avery good advice. But the husband is the complicator. Mama take heart and take the responsibility of the little boy please

  • @fredanari5423
    @fredanari5423 2 года назад +9

    Kaka we are ready to cover for DNA please arrange for that

  • @juvilianmoraa
    @juvilianmoraa 2 года назад +3

    Kaka plz am eargely waiting for part two ya DNA huyo mwanaume aseme ukweli

  • @salomenyomenda4893
    @salomenyomenda4893 2 года назад +9

    Huyu mtoto ni wa huyu mwanaume period 🤞🤞

    • @sibriankwamboka3756
      @sibriankwamboka3756 2 года назад +1

      That's true bro lea huyo mtoto ndio atafungulia hao wengine milango

    • @janeotiso552
      @janeotiso552 2 года назад

      Nataka hiyo MTOTO

  • @dolfinenyabuto2947
    @dolfinenyabuto2947 2 года назад +5

    Anajuaje huyo msichana anaitwa mum😁😁😁😁kaka usijipee shughuli fanya DNA juu huyo msichana aliishi hapo ekenyoro🤣🤣🤣huyo mtoto ni wa huyo mwanaume

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate 14 дней назад

    Wewe mume na mke, mnachezea maisha na maisha ya huyo mtoto. Siku moja mtakuja kujuta akiwa ofisa mkubwa. Tabia ya kurukaruka na wasichana hapa na pale ni kwamba hutosheki na ndoa yako. Oboriri obonene mono. Asante Kaka na madam chief Truphosa kwa kushughulikia mtoto. Children's office should handle the matter.
    Huyu kijana ni mjinga kiasi, tena muongo. Msipatie huyo msichana mtoi.

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 2 года назад +7

    A child is a blessing mama take care of that child and God will open doors for u

    • @leonah5903
      @leonah5903 Год назад

      Kuna watu saitani😂😂

  • @elizabethawino8598
    @elizabethawino8598 2 года назад +15

    You can't blame the lady, considering the situation at home,then this relative takes advantage of her .

    • @davidmomanyi9890
      @davidmomanyi9890 2 года назад +1

      Let the man responsibility huyo mtoto ni wake

    • @kkyd8634
      @kkyd8634 2 года назад

      Huyo mtoto ni wake banaaa

    • @marthaosebe-xm2jt
      @marthaosebe-xm2jt 2 года назад

      Huyo mtoto ni wa huyo mwanaume ju huyo demu mbona akumpeleka kwingine

  • @valinebarongo5292
    @valinebarongo5292 2 года назад +7

    Kaka do more follow ups because this kid might belong to this guy, investigate more please even try to find the mum to explain more.... there is an hidden agenda in it....this guy was dating this lady before

  • @morachadiana-wp2ys
    @morachadiana-wp2ys 2 года назад +10

    Huyo mwanaume let his stand firm ambiane mtoto ni wake wacha alinde mtoto wake hio story eti wapeane mtoi it's not fair that innocent baby God will one day bless him na the wife should also understand aache pressure wachunge mtoto instead ya kuadapt.Its so sad the dad anajua mtoi ni wake na anaona Tu vile mtoi anasumbuka anawachwa nje usiku akilia yeye Hana utu jamani ni ujinga ama ni watu kukosa akili hata sielewi Mimi let him tell the pple the truth abebe msalaba wake kama anapenda mtoto wanasumbua mtoto na kama anamanage kuchunga familia yake mbona asichunge that innocent kid?so bad.

    • @moraramoureen4853
      @moraramoureen4853 2 года назад +2

      Excantly

    • @nathanontegi3222
      @nathanontegi3222 2 года назад

      What surprises me,the family wanasema wamechoka na huyo mtoto and yet the wife she is pregnant surely 🤔🤔🤔🤔🤔!!!!!indagera ki omwana Oyo akoria realistically erairere efamily eye koba nemechando???I don't understand omosacha Oyo from the first of the story he admits that he was having relationship with the mother of the kid but it didn't last for long,now how sure he his that this child is not his???abasacha tiga totige obochinga piii nonya Tori sure buna omwana noyoo kogwatwarire oboamate namosubati onde takoba omwango kwanga omwana kwarenteirwe,infact ancha omwana Oyio mono goetania nonya nabana baria bomokungu oria more nere,gekogera that's where your blessings are.

    • @marthaosebe-xm2jt
      @marthaosebe-xm2jt 2 года назад

      Kusema ukweli huyo mtoto ni wa huyo mwanaume hawakuwachana hata kama walikuwa marafiki bado walikuwa wanameet na akampea mimba aki wanaume mbona wanafanya hizo

    • @GgdDyyd-qr6fe
      @GgdDyyd-qr6fe Год назад

      Ukweli aky

  • @estherbosibori1374
    @estherbosibori1374 2 года назад +9

    Take care of your son, please 🙏

  • @salomemoindi8141
    @salomemoindi8141 2 года назад +6

    "She was my girlfriend farther back so the child is not mine," the man says. The answer lies here.

    • @MuzicAfrika
      @MuzicAfrika 2 года назад

      One year and 8 months plus nine months is a long time bro.

    • @tomanya12ify
      @tomanya12ify 2 года назад +1

      Alimkula on his way home jioni jioni unaelewa bibi ndio shinda but the guys knows the truth

    • @evansnyakundi3527
      @evansnyakundi3527 2 года назад

      True.the baby belongs to this man,the man is hiding the evidence kujifanya tu ati tulikua mafriends kitambo 😂😂😂take care of your child man

  • @catherinenyabuto4904
    @catherinenyabuto4904 2 года назад +3

    May God take pity on the young soul.
    Isaiah 49:15.Can a mother forget his child? surely she may but God will never forget us as his children.May God protect the boy and give him bright future in Jesus name.

  • @delvinemomanyi
    @delvinemomanyi 2 года назад +5

    Mama punguza mdomo ,,, your hubby knows the truth 😅stay with the kid or else bwanako stake fully responsibility

    • @domarisyyi3189
      @domarisyyi3189 2 года назад +1

      Nashangaa, anyamaze pi😂, ameona shamba kijana atajukua

    • @delvinemomanyi
      @delvinemomanyi 2 года назад

      @@domarisyyi3189 imagine 😀 jealous itamua intact mtoi he doesn't know anything 😰it seems bwana Ako na wanawake wengi out side,,,anashida akimtetea atige obochinga!!

  • @everlineombuna
    @everlineombuna 2 года назад +2

    Let this man man up and shoulder his responsibility as the father to the child. If he doubts his paternity let them ask for DNA testing but all in all i think the baby should be placed in a safe home. It is not about imagining if the baby is his or not but DNA is the only way to confirm if the baby is his.

  • @samwelokwoyo6843
    @samwelokwoyo6843 2 года назад +1

    Huyu ndiye baba mtoto. The way he speaks unajua tu ndiye daddy. Enda 🧬 ikupe Majibu

  • @tommosigisi3705
    @tommosigisi3705 2 года назад +5

    This guy is getting tongue tied. Let him man up and take care of his son

  • @sophiemaobe4952
    @sophiemaobe4952 2 года назад +3

    You were friends na ulimwagia ndani ?? Wajibika brother

  • @josephmiruka9
    @josephmiruka9 2 года назад +3

    Not judging or concluding on what is happening 🤔! Brother, take care of the responsibility kid, and this is an innocent Saul .#If you this woman who is present she had never date b4 ..let her stand up...but if..let her calm down because at the end reality will be out...and the man accepted he used to have intimacy with baby mama drama......So now I think 🤔 let's advise them to settle this matter trabiunal way .Avoid allegations. Huyu mtoto ni wa huyu jamaa nikama huyu bibi ake ndio kusema..azn awaje kuwa na roho juu azn ata yy atajifungua mtoto ...#Mtoto ni mtoto gakii

  • @lydiahrosana2810
    @lydiahrosana2810 2 года назад +5

    Msijifanye hamjaona huyo mtoto anafanana na huyo jamaa Hadi kichwa let him take the responsibility of the baby na huyo mwanamke avumilie kulea huyo mtoto those are blessings🙏

    • @naomimong5127
      @naomimong5127 Год назад +1

      😂😂😂😂😂ak wewe Acha wafanye DNA

  • @mereninyangena8002
    @mereninyangena8002 2 года назад +9

    Please Baba take care of the child first he will bless the one you are carrying it is a challenge but you will be blessed.

    • @mikamolly5699
      @mikamolly5699 2 года назад

      It seems the lady was ready to take care of the child but due to pressure from outside she is afraid

    • @leonidamachuru5960
      @leonidamachuru5960 Год назад

      Renda omwana noyoo pls wacha utoto

  • @agnesgesare9349
    @agnesgesare9349 2 года назад +4

    The guy is a father to that kid and he is ready to take care of hi kama c huyo mkewe n mambo mengi yanaongew inje.

    • @emilykerubo5579
      @emilykerubo5579 2 года назад +1

      Arende omwana oyio noyoye atige omochieso

    • @mallet0253
      @mallet0253 2 года назад

      Man take care of your son baadaye atakuzaidia siku sijazo

  • @ZenKenya
    @ZenKenya Год назад +1

    Wewe lea mtoto wako pana uyo msichana sio wasimu hanakujua ni wewe papa mtoi lea waja ujinga munapatia mtu watoi munadani tunawasau lea mtoto wako

  • @jacklinemongare5461
    @jacklinemongare5461 29 дней назад

    Huyu mtoto ni mdogo sana, akae na mamake hadi 18 yrs... But baba awe responsible kwa kumlea mtoto.
    Mama mtoto akae na mtoto pls.

  • @phanicemoraa1559
    @phanicemoraa1559 2 года назад +8

    Kaka be blessed unafanya kazi nzuri sana so sad

  • @kinglexurecoolbiter2936
    @kinglexurecoolbiter2936 2 года назад +4

    Can we decide to collect money for DNA 🤔🤔 uyo jamaa asitudanganye 🙏 alafu ikipatikana ni wake atulipe times 2

  • @dolfinenyabuto2947
    @dolfinenyabuto2947 2 года назад +7

    Gaki hehee omosacha oyio nere omonyene omwana, gaki angalia kichwa cha huyo mtoto na huyo mwanaume,mama ndio anajua baba mtoto huyo msichana si wazimu , alijua ni wewe take responsibility mosacha

  • @ericabaga9738
    @ericabaga9738 2 года назад +3

    Huyo bwana ndio babake mtoto,anasema hajui huyo msichana,mara anamujua.Lea mtoto,hajana kupeana sababu nyiiingi za ukora.

  • @MrOndigi
    @MrOndigi 2 года назад +4

    Best option is DNA!

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 Год назад +1

    Mtoto ni wa Kijana, kulingana na maelezo ya kijana..iko Kiswahili kingi.kijana please take care.
    God Is watching You From above.
    Na
    Wew mamake Mtoto,Ole wako.
    You will come later to cry😢😢
    Too Much.
    02/09/2023

  • @dukeomuya4287
    @dukeomuya4287 2 года назад +4

    Take full responsibility bro ...no escape route

  • @jamesabuga5744
    @jamesabuga5744 2 года назад +1

    That's your son young boy don't be scared for your wife kids are blessing,take your responsibility.

  • @samwelorwaru1671
    @samwelorwaru1671 Месяц назад

    Thanks kaka for good job may God bless you 🙏

  • @joshuamokaya8679
    @joshuamokaya8679 2 месяца назад

    This man is the father of the child.let them take care of the kid.

  • @felixnyakundi1536
    @felixnyakundi1536 2 года назад +6

    You don't know the lady's name but you were lovers. Take responsibility bro

    • @delvinemomanyi
      @delvinemomanyi 2 года назад +1

      U have said the naked truth 🤣🤣

  • @norahmorebi4605
    @norahmorebi4605 Год назад +1

    Mtoto ni ya huyu ndume afanyie Ile kitu but bibi naye😢😢

  • @angelinebonareri6920
    @angelinebonareri6920 2 года назад +4

    This man must be the father to this kid, man take responsibility of your kid stop kidding pple useless man

  • @اليزابيلمحمد
    @اليزابيلمحمد Год назад +2

    Take care of your baby bro iwish ningekuwa kenya ningemchukua kwangu mtoto is innocent take the point n mhanyaji huyo kijana

    • @tripleandtriple
      @tripleandtriple 26 дней назад

      News, the law of the land Vs economy of the land , love and nature of mankind.

  • @beahjnr1860
    @beahjnr1860 2 года назад +2

    Kaka DNA,,mtoto hana dhambi mbona mnasumbua huyo mtoto hivo? Mimi niache mtoto wangu usiku kwa giza?😭

  • @nancybitutu6829
    @nancybitutu6829 2 года назад +2

    Huyo mwanaume alee mtoto wake. Akona bibi na anaenda kutafuta warembo kwa streets, bure kabisa.

  • @benjaminmaryson5580
    @benjaminmaryson5580 2 года назад +3

    The guy is repeatedly contradicting himself...wife naye ni roho mbaya, kinda pressuring him down.

  • @justinejaytee4897
    @justinejaytee4897 2 года назад +2

    Kaka please look for the lady we hear part of her story

  • @joycemongare9966
    @joycemongare9966 2 года назад +4

    Huyo ndiye babake mutoto

  • @gracielast7353
    @gracielast7353 2 года назад +4

    You are running from responsibility man take care of your son mtoto ni wako kama alikuwa anakaa hapo

  • @GladysMonari-d4m
    @GladysMonari-d4m Месяц назад +1

    Nipee huyo mtoi for free,sina kichana nilifukuzwa kwa ndoa juu ya kuzaa wasichana🎉🎉🎉🎉

  • @wanyamapamelaatemba1362
    @wanyamapamelaatemba1362 2 года назад +2

    Anaogopa huyu mwingine atatoroka, lakini mtoto ni wake. Lea mtoto wako boss, kupeana mimba rahisi na kukubali matokeo vigumu! Waaaa 🙆

    • @leonah5903
      @leonah5903 Год назад

      Si atoroke ni wifu tu ati ako na mimba tumebeba mimba mbaka twins na haturingi😂😂😂

  • @childofgoddorsila5338
    @childofgoddorsila5338 2 года назад +8

    Wanaume mumeshoea kuzaliza na kuepa, round hii hamtoboi🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @florencemokeira8941
    @florencemokeira8941 2 года назад +3

    take care of that child, mtoto hana makosa, Mungu atakufungulia njia watoto wako watafanikiwa hata kwa masomo yao

  • @GISKenya20
    @GISKenya20 Год назад +1

    Nipe huyo mtoto please kaka really it's painful nipe huyo

  • @edwinmasiemo6897
    @edwinmasiemo6897 2 года назад +2

    Be firm bro, take care of your baby boy, ambia your wife ukweli

  • @dorcasmogaka5479
    @dorcasmogaka5479 2 года назад +3

    Kumbafu kama umekubali mama mtoto alikua girl friend yako, Enda DNA then chunga yeye, They way you are talking you know the child is your son and carry your burden now

  • @hfshfsgd9167
    @hfshfsgd9167 2 года назад +7

    Mtoi ni wake wacha alea kwanza huyo ndio baba mtoto

    • @ruthtorahabublessedlady9222
      @ruthtorahabublessedlady9222 2 года назад

      Mama alee mtoi kama wake Yesu anarudi, akimkataa atakuja kutoa majibu kwa Mungu, MTU hawesi let's mtoi mahali hajui tunaelewa mambo ya siku hzi lea mto mmepewa na Mungu mkizidi mtapigwa kiboko kikali

  • @gladysogembo4414
    @gladysogembo4414 Год назад +1

    Kaka huyo mtoto bado hako na nikimjukua kuna mtu atamjukua tena ama atakua wangu kabisa am in a need ya mtoto kijana please

  • @thadeusotachi3786
    @thadeusotachi3786 Год назад +1

    Aya namarito,naki gose Kerubo ndakore😱

  • @jakee2041
    @jakee2041 2 года назад

    Thanks Kakasungura always good work. Be Blessed.

  • @venickemunto5619
    @venickemunto5619 2 года назад +3

    Mi nasoma tu comment but mtoi ako kwao hii tabia ya kupeana mimba na kutoroka mtajua hamjui 🤣🤣🤣

    • @florenceatambo2579
      @florenceatambo2579 11 месяцев назад

      😅😅😅😅 kimekuramba ongea na mke wako mzee mtoi

  • @avyduke2206
    @avyduke2206 2 года назад +2

    Egesono kengwasera osinywe korenda omwana...Take your responsibility young man wacha ujinga na ukitia mtu bila CD juu unapata ukimwi ama mtoto so linda mtoto

  • @marykyley836
    @marykyley836 2 года назад

    That chief is well informed kudos

  • @Kerubo-j5y
    @Kerubo-j5y 3 месяца назад +1

    Sometimes Waja kucharge mtu Waja DNA iamue midomo mingi ibungushwe imgn Kam ni ww naujafanya utasikia aje?

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 2 года назад +3

    Kaka mtu awezi aja mtoto wake mali ajui waende DNA ndio wajue vizuri

  • @josephinemaroko2557
    @josephinemaroko2557 10 дней назад

    May the man confess that the baby is not his.

  • @Callenkwamboka1204
    @Callenkwamboka1204 2 года назад +6

    Kaka huyo kijana ndio babake mtoto

  • @armstrongndege200
    @armstrongndege200 2 года назад +5

    Kaka kindly you need to hear from that lady(mother)also.the way that guy is talking don't trust him.we need to hear her version of the story

  • @sibiamoige5027
    @sibiamoige5027 2 года назад +4

    Uyo mtoto ni wako brathee .....just relax lea mtoi na life itaendelea

  • @cateJeremy
    @cateJeremy 6 дней назад

    Since it's 2yrs ago...How did it go?

  • @zlpporahkimanga87
    @zlpporahkimanga87 2 года назад +1

    We may blame the man mbona dem asiende ajieleze ndo apate support

  • @sylis254
    @sylis254 2 года назад

    Huyo Mzee mtoi n wake wacha alee mtoi awacje ujingi kupeana anajua kulea 💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @davidgwako3775
    @davidgwako3775 2 года назад +3

    Hahaha ata mnafanana wah ebu lea huyo mtoto we ndo ulipeana mimba

  • @JacklineTinega-s6n
    @JacklineTinega-s6n 5 дней назад

    Huyu mtu anajua huyo mtoto ni wake but anaogopa Bibi.pili haezi peana mtoto wa wenyewe na mamake Ako hai.Can you do a follow up tujue what happened to the child.

  • @EstherOyaro-x2u
    @EstherOyaro-x2u 8 месяцев назад +1

    Mm nko na watoto 3 vijana na ninangangana nao mm tu siezi watupa

  • @euniceomaore6442
    @euniceomaore6442 Месяц назад +1

    Waah wanaume kaz yao nkuzalisha tu waj tu nlee mtoti wangu hyo n president wanatupa😢

  • @marykyley836
    @marykyley836 2 года назад +1

    This woman is still pregnant ayaaa .kumbe maskini ndio wanazaa kuliko matajiri

  • @a.faalice
    @a.faalice 9 месяцев назад

    Mtoto ni wake mwanaume anashindwa kuongea juu ya huyo bibi ako naye😂😂😂😂😂tiga arende omwana

  • @collinsbarasa1740
    @collinsbarasa1740 27 дней назад

    He's yours son . Take care of him

  • @تبغبارغر
    @تبغبارغر 2 года назад +1

    True uyo mtoi ni wake mbona akumuletea wote basi akumuletea uyo mdogo wacha aseme ukweli

  • @mogakamoegi2516
    @mogakamoegi2516 Месяц назад

    Whether he is your child or not take care for that Angel

  • @dolfinenyabuto2947
    @dolfinenyabuto2947 2 года назад +1

    Ninki motakoirera omwana sobo ng'ina kama anajua huko🤔🤔🤔

  • @bathahebahmachani5898
    @bathahebahmachani5898 2 года назад +2

    Bro, tiga obokondi rinda mtoto wako ulikua unaficha sasa Iko wasi. Take care of your son. Ukiona ataki kukamu anajua baba mtoto

  • @quinehots8010
    @quinehots8010 Год назад +1

    Kaka niko na ?? Kwa huyo jamaa,mara hamjui tena anasema walikua na mapenzi pamoja,how can you share love With someone you have shared love with,kindly take dna then thank me later i tell you